Uelekezaji katika Huduma ya Msaada wa Mapema

mom and child

Mtu yeyote anaweza kuelekeza mtoto kupokea msaada wa mapema – wazazi, madaktari, watoa huduma wengine wa afya, watoa huduma za watoto, mashirika ya huduma za jamii, mipango ya mafunzo ya mapema, n.k.  Baada ya uelekezaji, ni jukumu la familia kuamua iwapo inataka kushiriki.

  • Wapigie ofisi yako mahalia ya Child and Family Connections (CFC) kuomba tathmini ya ukuaji. Kupata ofisi mahalia ya CFC, piga (800) 843-6154.
  • Familia zinaweza kupata maelezo zaidi kuhusu uelekezaji na hatua zinazofuata kwenye ukurasa wetu wa Kuanza .
  • Moduli ya Uelekezaji wa Kupokea Msaada wa Mapema ya Mpango wa Mafunzo ya Msaada wa Mapema ina maelezo ya kina kuhusu utumiaji wa fomu ya kawaida ya uelekezaji kuwaelekeza watoto kupokea huduma ya EI. (kwa Kiingereza)

Hatua Inayofuata: Uandikishaji

Publication date: 2023

Title in English: Making a Referral to Early Intervention