Nyenzo Muhimu za Kuingilia Mapema

magnifying glass

Illinois Early Intervention Clearinghouse mara kwa mara hutayarisha hati za vidokezo vya kusaidia familia na watoa huduma kuelewa utaratibu wa EI.

Mpango wa Msaada wa Mapema wa Illinois: Mwongozo wa Familia una maelezo kuhusu Mpango wa Msaada wa Mapema wa Illinois (EI, Early Intervention), kwa nini huduma za EI ni muhimu, jinsi ya kutambua iwapo mtoto wako anastahili kupokea huduma za mpango wa EI, kuanza na kuacha kupokea huduma za EI, haki zako za kisheria na maswali yanayoulizwa sana na familia.

Mchakato wa Msaada wa Mapema huzipa familia maswali ya kutafakari na mada za kujadili katika utaratibu wote wa EI. (kwa Kiingereza)