Kuanza Kupokea Msaada wa Mapema

Jifunze jinsi ya kutambua ikiwa mtoto wako anastahili kupokea huduma kupitia Mpango wa Msaada wa Mapema wa Illinois (Illinois Early Intervention Program) na jinsi ya kuanza utaratibu wa EI.

 

Kuanza Utaratibu wa Kupokea Msaada wa Mapema.

person choosing a direction