
Nyenzo za familia kwa Kiswahili
Washirika wa Mpango wa Uingiliaji Kati wa Mapema
Tembelea tovuti za Provider Connections, Mpango wa Mafunzo ya EI wa Illinois (Illinois EI Training Program, EITP), Ofisi Kuu ya Bili ya Mpango wa Uingiliaji Kati wa Mapema (Early Intervention Central Billing Office, EICBO), Huduma ya Usaidizi wa Kiufundi na Ufuatiliaji ya Mpango wa Uingiliaji Kati wa Mapema (Early Intervention Technical Assistance and Monitoring, EITAM), na Idara ya Utoto wa Mapema ya Illinois (Illinois Department of Early Childhood, IDEC).

